Jina langu ni Jesca kutokea Tanga, ninakoishi na familia yangu, nimeolewa na mwanaume mzuri anayefanya kazi na chombo cha habari huko Dar es Salaam, wakati mimi nafanya kazi katika Hoteli moja jijini hapa. Hata hivyo, mwaka jana lilitokea jambo baya nyumbani kwetu likihusisha dada wa kazi na mume wangu, msichana huyu alichukua nafasi yangu kama […] SOMA ZAIDI