Nikiwa chuoni nilikuwa na ndoto kama vijana wengi kufanya kazi kwenye kampuni kubwa, kuvaa suti, kuwa na ofisi yenye AC na jina langu mlangoni. Niliposoma kozi ya biashara na usimamizi, kila mtu aliniambia nina kipaji. Nilikuwa nikiamini kuwa mara tu baada ya kuhitimu, maisha yangenitabasamia. Lakini hali haikuwa hivyo. Baada ya kuhitimu, nilianza kutuma maombi……. SOMA ZAIDI