Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo- Brazzaville Mhe. Denis Sassou Nguesso uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Jean-Claude Gakosso, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Julai, 2025.
RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA CONGO-BRAZZAVILLE
