Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Maendeleo wa Denmark Mhe. Elsebeth Søndergaard Krone kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliyofanyika ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika Jijini Sevilla nchini Uhispania. Tarehe 01 Julai 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Maendeleo wa Denmark Mhe. Elsebeth Søndergaard Krone, mazungumzo yaliyofanyika kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika Jijini Sevilla nchini Uhispania. Tarehe 01 Julai 2025.