Mwana CCM na mfanyabiashara Grace Kimaro Maarufu “Mama Angel” amechukua fomu kuwania udiwani katika kata ya Wazo wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam katika uchaguzi wa Rais, Wanunge na Madiwani unaotarajiwa kudanyika. baadaye mwezi wa kumi mwaka nchini kote endapo atapitishwa na Chama chake cha CCM kata ya Wazo.
KADA WA CCM GRACE KIMARO ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UDIWANI KATA YA WAZO
