Profesa Erasto Mbughi Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Mipango, Fedha na Utawala akipata maelezo kutoka kwa washiriki wa maonesho Sabasaba kutoka vitengo mbalimbali wakati alipotembelea banda la Chuo Kikuu hicho katika maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Leo Juni 30, 2025.
Profesa Erasto Mbughi Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) mipango, Fedha na Utawala akipata maelezo kutoka kwa washiriki wa maonesho Sabasaba kutoka vitengo mbalimbali wakati alipotembelea banda la Chuo Kikuu hicho katika maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Leo Juni 30, 2025, kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji MUHAS Ulimbaga Kajhobile.