Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Balozi Simon Nyakoro Sirro kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Kheri Denice James kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Mboni Mohamed Mhita kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Beno Morris Malisa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jabiri Omari Makame kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimiapisha:,
Ndugu Abdul Rajab Mhinte kuwa Katibu Tawala, Mkoa wa Dar es Salaam kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
akimuapisha Ndugu Agnes Kisaka Meena kuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
akimuapisha Dkt. Frank George Haule Hawasi kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Songwe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 28 Juni, 2025.