Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri akizungumza wakati akifunga mafunzo kwa Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa magereza ya Tanzania Bara mkoani Dodoma leo tarehe 24 Juni, 2025. Uboreshaji wa Daftyari kwa Magereza na Vyuo vya Mafunzo unaraji kuanza Juni 28, 2025 hadi Julai 04, 2025. (Picha na INEC).
Sehemu ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya Waratibu, Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya Bayometriki wa Magereza ya Tanzania Bara wakifuatilia hotuba ya ufungaji mafunzo hayo mkoani Dodoma leo tarehe 24 Juni, 2025. Uboreshaji wa Daftyari kwa Magereza na Vyuo vya Mafunzo unaraji kuanza Juni 28, 2025 hadi Julai 04, 2025. (Picha na INEC)