Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi mara baada ya kufungua rasmi Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 mkoani Mwanza.
Matukio mbalimbali kwenye sherehe za ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Chuo cha ufundi Kalwande, Kigongo wilayani Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025.
Shamrashamra za ufunguzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) lenye urefu wa km 3.0 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66 katika eneo la Chuo cha ufundi Kalwande, Kigongo wilayani Misungwi mkoani Mwanza tarehe 19 Juni, 2025.