Mwanamuziki Ebrahim Makunja kutunukiwa Award ya “Ambassador of African Culture” tuzo hiyo inayotolewa na Africa We want organisation la ujerumani linautambua mchango wa mwanamuziki huyo mtanzania kiongozi na mwanzilishi wa bendi maarufu The Ngoma Africa Band yenye majina mengi yaliobatizwa na washabiki wake kama Viumbe imara wa ajabu “Anunnaki Alien’s ” kutoka special Planet Bongoland, FFU Ughaibuni wakifananishwa kikosi maalumu, Kikosi kazi hiko The Ngoma Africa Band chenye masikani kule ujerumani ambayo kimeutangaza vema muziki wa kiafrika katika kila kona za kimataifa 🎼👏🏿