Nilipomaliza kidato cha nne miaka saba iliyopita, sikuwa na nafasi ya kuendelea na masomo. Hali ya nyumbani haikuwa nzuri, na baba yangu alikuwa tayari mzee asiyeweza kufanya kazi. Nikiwa kijana wa miaka 19, niliamua kutoka kijijini na kuja mjini kutafuta maisha. Nilifika Soko Kuu nikiwa na mfuko wa nguo chache na matumaini makubwa, ila sikuwa […]…… SOMA ZAIDI