Malkia wa Mipasho wa muziki wa Taarab kutoka kundi la. taarab la CCM Tanzania One Thietre akitumbuiza katika katika mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi unaofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma, Mkutano huo unaoendelea kwa siku ya pili leo unaongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.