Je, umewahi kusikia habari zozote kuhusu mwanaume mwenye uwezo wa kumfukuza mke wake kwenye kitanda chao cha ndoa kutokana na hamu ya tendo la ndoa?. Wiki iliyopita, mwanamke mmoja alijikuta akitoroka nyumbani kwake mwenyewe kwa sababu mume walikuwa anataka tendo la ndoa kila mara. “Mume wangu hataki raundi moja tu, anadai hiyo haimtoshi, anataka hata […].…. SOMA ZAIDI