Zanzibar: Mhe. Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Tanzania Msumbiji amekutana na Ndg. Akif Ali Khamis,
Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) na kujadiliana namna Mamlaka zinazohusika na Usimamizi wa Bandari Msumbiji na Zanzibar zinavyoweza kushirikiana.