Mhe. Balozi Hamad Khamis Hamad awasilisha Hati za Utambulisho kwa Mhe. Daniel Francisco Chapo, Rais wa Jamhuri ya Msumbiji tarehe 02 Mei 2025, jijini Maputo.