Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiandamana wakati wa kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani iliyofanyika kimkoa leo katika uwanja wa Tanganyika Packers Kawe uliopo jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu “Uchaguzi mkuu 2025 utuletee viongozi wanaojali haki na maslahi ya wafanyakazi, sote tushiriki” yamefanyika kitaifa Mkoani Singida.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakishangila wakati wanapita mbele ya mgeni ramsi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani iliyofanyika kimkoa leo katika uwanja wa Tanganyika Packers Kawe uliopo jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu “Uchaguzi mkuu 2025 utuletee viongozi wanaojali haki na maslahi ya wafanyakazi, sote tushiriki” yamefanyika kitaifa Mkoani Singida.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika leo kimkoa katika uwanja wa Tanganyika Packers Kawe uliopo jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu “Uchaguzi mkuu 2025 utuletee viongozi wanaojali haki na maslahi ya wafanyakazi, sote tushiriki” yamefanyika kitaifa Mkoani Singida. (Picha na: JKCI)