Singida
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff wakati akimkabidhi zawadi ya fedha kwa kuwa Mfanyakazi Hodari wa Wakala huo kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi 2025 yaliyofanyika Kitaifa uwanja wa Bombadia Mkoani Singida.