Rais wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amekutana na Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango ya Taifa Dkt. Fred Msemwa ambaye alifika ofisini kwake kwa lengo la kujitambulisha mara baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassa kuiongoza tume hiyo
Dkt Msema amepata fursa ya kujadiliana masuala mbali mbali na Spika Dkt. Tulia juu ya mipango ya maendeleo ya taifa hasa kuhusu Dira Mpya ya Maendeleo 2025