Kwa kawaida ndoa huwa rahisi kwa mtu ambaye hajawahi kuingia kwenye ndoa yenyewe, kwa ufahamu wangu suala zima la ndoa ni ngumu sana haswa ukipata mpenzi asiyekuelewa kwa vyovyote vile ama aliye na kazi nzuri kukuliko wewe kama mume. Mapenzi huwa na mambo mbalimbali ambayo……. SOMA ZAIDI