Miaka kama saba iliyopita niliolewa na kijana ambaye kila jambo ilikuwa ni lazima amshirikishe mama yake, sikua na shida na hilo jambo, ingawa ukaribu wao ulikua kidogo umezidi kusema kweli. Hata kabla ya kuanza naye mahusiano kumbe mama yake alinitathmini kwanza ndio akampa ruhusa ya…….. SOMA ZAIDI