Miaka kama miwili iliyopita mtoto wa dada yangu alipotea katika mazingira ya kutatanisha akiwa anacheza na wenzake karibu na eneo la nyumbani kwao, hakuna aliyejua ni wapi alipotokomea. Mzazi wake alipita kila nyumba kumuulizia lakini hawakuweza kumpata, tulimsaidia kumtafuta hadi vijiji vya jirani ila hatukuweza….. SOMA ZAIDI