Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na wananchi kabla ya kuzindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 17 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea mabanda ya maonesho yaliyopo nje ya ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kabla ya kuzindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi tarehe 17 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya moja ya magari ambayo ameyazindua pamoja na vitendea kazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 17 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi kwenye hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 17 Machi, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 Toleo la 2023 na Mfumo wa e-Ardhi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 17 Machi, 2025.