Jina langu ni Zabloni, naishi Dar es Salaam, ni kijana wa miaka 28, awali niliishi huko Mwanza pamoja na wazazi wangu ambao sasa ni wazee, huko maisha yalikuwa magumu sana kiasi kwamba hata kupata chakula ilikuwa ni tabu sana.
Nakumbuka katika umri wangu mdogo nilikuwa naondoka asubuhi nyumbani na wazazi wangu na kwenda kufanya kazi ya vibarua katika mashamba ya watu ambapo tulikuwa tunafanya kazi hadi jua linapozama.
Nilipofikisha umri wa miaka 20 niliamua kuondoka kwa wazazi na kuwaeleza kuwa naenda Dar kutafuta maisha na nikifanikiwa nitarejea maana ndio wamenitunza kwa miaka mingi kwa kujinyima ile mimi nikue mtu mzima.
Kufika Dar ……. SOMA ZAIDI