Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Arusha pamoja na makundi mbalimbali katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 08 Machi, 2025.
RAIS SAMIA AWAANDALIA IFTAR WAZEE WA ARUSHA
