Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Shule ya Sekondari ya wasichana Tanga iliyopo Mabalanga katika Kijiji cha Michungwani Wilaya ya Kilindi, ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi Kilindi mkoani Tanga tarehe 25 Februari, 2025.
RAIS SAMIA AFUNGUA SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA TANGA
