Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti aliposhiriki Mkutano wa hadhara na Wananchi wa Wilaya ya Lushoto waliofurika Uwanja wa Sabasaba kumlaki wakati wa ziara ya kikazi Mkoani Tanga leo February 24,2025.
RAIS SAMIA KATIKA ZIARA YA KIKAZI LUSHOTO MKOANI TANGA
