Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Februari 23, 2025 ameungana na wakimbiaji wa Kili Marathon inayojumuisha wakimbiaji wengi kutokea mataifa mbalimbali
Dkt. Biteko akiambatana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, Mkuu wa Kitengo cha Masoko, Bi Joseline Kamuhanda pamoja na Viongozi mbalimbali wanashiriki mbio fupi za KM 5 Fun Run.