Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Mzee Abdalah Saidi Nchamala kutokana na kifo cha mkewe Marehemu Asina Omary Nyimbilile, aliposhiriki maziko yaliyofanyika kwenye makaburi ya Jumuiya, Kata ya Nkowe, Ruangwa mkoani Lindi Februari 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki swala ya kumuombea Marehemu Bi. Asina Omary Nyimbilile, aliposhiriki maziko yaliyofanyika kwenye makaburi ya Jumuiya, Kata ya Nkowe, Ruangwa mkoani Lindi Februari 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumzaa na waombolezaji aliposhiriki maziko Marehemu Bi. Asina Omary Nyimbilile yaliyofanyika kwenye makaburi ya Jumuiya, Kata ya Nkowe, Ruangwa mkoani Lindi Februari 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)