WANANCHI wa Muyuni Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Dua Maalumu ya kumuombea na Sala ya Ijumaa, iliyoyika katika Masjid Noor Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja leo 21-2-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi, baada ya kumalizika kwa Dua Maalumu ya kumuombea na Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noor Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja leo 21-2-2025.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohamed Mahmoud.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wananchi wa Kijiji cha Muyuni, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noor Muyuni leo 21-2-2025.(Picha na Ikulu)