Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Ukumbi wa City Park
Jijini Mbeya kwaajili ya ufungaji wa Mkutano wa 109 wa Mwaka wa Watayarishaji wa
Vipindi vya Elimu kwa Umma leo tarehe 21 Februari 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akisikiliza maelezo kutoka kwa washiriki mbalimbali wa maonesho wakati akikagua
mabanda katika Mkutano wa 109 wa Mwaka wa Watayarishaji wa Vipindi vya Elimu
kwa Umma uliyofanyika katika Ukumbi wa City Park mkoani Mbeya. Tarehe 21
Februari 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akikabidhi majiko ya gesi kwa baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Mbeya yaliyotolewa
na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati wa Mkutano wa 109 wa Mwaka wa
Watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma uliyofanyika katika Ukumbi wa City
Park mkoani Mbeya. Tarehe 21 Februari 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa
(STAMICO) Dkt. Venance Mwasse kuhusu mkaa mbadala wa Rafiki Briquettes wakati
wa Mkutano wa 109 wa Mwaka wa Watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma
uliyofanyika katika Ukumbi wa City Park mkoani Mbeya. Tarehe 21 Februari 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
akikabidhi majiko yanayotumia nishati safi kwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Loleza
Mwl. Tuntukuze Mpindu yaliyotolewa na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakati
wa Mkutano wa 109 wa Mwaka wa Watayarishaji wa Vipindi vya Elimu kwa Umma
uliyofanyika katika Ukumbi wa City Park mkoani Mbeya. Tarehe 21 Februari 2025.