RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya mkutano wa Wadau wa Bima Tanzania na kukabidhiwa Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-2-2025.(Picha na Ikulu)
WASANII wa Kikundi cha sanaa Chuo cha Mafunzo Zanzibar wakitowa burudani wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasili katika viwanja vya Hotel ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kupokea Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania, uliyofanyika leo 20-2-2025 katika ukumbi wa hoteli hiyo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitambulishwa Watendaji Wakuu wa Bima Tanzania na Kamishna wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt.Baghayo Saqware, alipowasili katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-2-2025, kwa ajili ya kukabidhiwa Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania.(Picha na Ikulu)
KAMISHNA wa Bima Tanzania (TIRA) Dkt. Baghayo Saqware akiwasilisha Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania kwa mwaka ulioisha 31,Disemba 2024, kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-2-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya mkutano wa Wadau wa Bima Tanzania na kukabidhiwa Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-2-2025.(Picha na Ikulu)
WASHIRIKI wa Mkutano wa kupokea Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 20-2-2025.(Picha na Ikulu)
BALOZI wa Bima Tanzania Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi. Zena Ahmed Said, akipiga makofi kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika mkutano wa kupokea Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania, mkutano uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 20-2-2025 na (kulia kwake) Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Baghayo Saqware na (kushoto kwake) Naibu Kamisha wa Bima Khadija Said.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania, akikabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Bima Tanzania Dr. Suleiman Rashid Mohamed, baada ya kuwasilisha katika mkutano wa Wadau wa Bima Tanzania, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 20-2-2025 na (kulia kwake) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt. Saada Mkuya Salum.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali na kuonesha Kitabu cha Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania, baada ya kukabidhiwa, wakati wa hafla ya mkutano wa Wadau wa Bima Tanzania uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 20-2-2025.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo Saqware, baada ya kumalizika kwa mkutano wa Wadau wa Bima Tanzania na kuwasilishwa kwa Taarifa ya Utendaji wa Soko la Bima Tanzania, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 20-2-2025 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum.(Picha na Ikulu)