RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” uzinduzi huo uliyofanyika lkatika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 19-2-2025.(Picha na Ikulu)
WAFANYAKAZI Wizara ya Afya Zanzibar wakishangilia katika hafla ya uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 19-2-2025.(Picha na Ikulu)