kutoa huduma bora kwa wananchi watakaojitokeza katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotaraji kuanza Februari 13 hadi 19, 2025 katika
mikoa ya Tanga na Pwani.
wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki katika Halmashauri za Jiji la Tanga, Mji wa Korogwe pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe vijijini.
kwa upole na si kuwawakali bali kuwasaidia kuwaelekeza kwa unyenyekevu ili zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura liweze kufanikiwa vyema kama ilivyo
kusudiwa.
hao kuwa waadilifu na kufanya kazi hiyo muhumu kwa taifa kwa moyo na kujituma.
mengine pindi vikitunzwa vyema.
wanatarajiwa kuandikishwa na zoezi hilo litakapokamilika mikoa hiyo itakuwa na wapiga kura 2,727,318 sawa na ongezeko la asilimia 18.7 ya wapiga kura 2,296,302 waliopo kwenye daftari katika mikoa hiyo.
jioni kila siku kwa siku saba.
Mwanza, Shinyanga, Mara, Simiyu, Manyara, Dodoma, Singida, Mjini Magharibi, Kusini Unguja, Kaskazini Unguja, Kusini Pemba, Kaskazini Pemba, Arusha, Kilimanjaro, Mbeya, Iringa, Rukwa, Songwe, Njombe, Ruvuma, Lindi na Mtwara.
Mwenyekiti wa Tume, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambege akiteta jambo na afisa Mwandikishaji Msaidizi Jimbo la Tanga mjini Bi. Mwanaidi Nondo.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele leo Februari 11,2025 ametembelea na kuzungumza na washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki katika Halmashauri ya jiji la Tanga Mkoani Tanga. Zoezi la Uboreshaji Mkoani humo linataraji kuanza Februari 13 hadi 19 mwaka huu.
Watoa mada wakati wa mafunzo Halmashauri ya Mji wa Korogwe wakiendelea na utoaji mada.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele leo Februari 11,2025 ametembelea na kuzungumza na washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki katika Halmashauri ya Mji wa Korogwe na Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe vijijini Mkoani Tanga. Zoezi la Uboreshaji Mkoani humo linataraji kuanza Februari 13 hadi 19 mwaka huu.