RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia Duniani na Mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) Prince Karim Al -Hussaini Aga Khan IV, aliyefariki dunia jumanne 4-2-2025, jijini Lisbon Ureno, alipofika katika jamaat la Shia Ismailia Zanzibar hurumzi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 7-2-2025 kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezi (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Jamaat la Shia Ismailia Zanzibar Altaf Jiwan na Rizwan Janmohamed.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijimuika na Viongozi wa Jamaat la Shia Ismailia Zanzibar katika kuitikia dua baada ya kusaini kitabu cha maombolezi kufuatia kifo cha Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia Duniani na Mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN) Prince Karim Al -Hussaini Aga Khan IV, aliyefariki dunia jumanne 4-2-2025, jijini Lisbon Ureno, alipofika katika jamaat la Shia Ismailia Zanzibar Hurumzi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 7-2-2025 kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezi, ikisomwa na Mukhi Murad Vellani.(Picha na Ikulu)