Hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani ya ndoa imeacha majeraha makubwa sana katika nyoyo za watoto.
Mimi na mume wangu tulianza kugombana pindi nilipojifungua mtoto wangu wa tatu, mume wangu alionekana kutokuwa na furaha kama ambavyo ilikuwa kwa watoto wetu wa mwanzo.
Nilishindwa kuelewa nini tatizo, mwanzo nilihisi labda kuna mambo ya kazini yanamsumbua lakini nijakaja kugundua sio kweli mara baada ya kuambiwa na moja ya marafiki zangu kuwa mume wangu amesema mtoto huyo sio damu yake.
Hali hiyo iliniumiza sana kiasi ambacho nilianza kulia machozi, kama ni hivyo kwanini asingeongea na mimi kwanza, kwanini akanitangaze huko nje.
Aliporejea nyumbani sikutaka hata salamu yake, hapo hapo nilimuuliza kuhusu jambo hilo na akasema ameongea ukweli kabisa.
Siwezi kusahau, ugomvi ulikuwa mkubwa kiasi hadi majirani waliingilia kati, nilikuwa mwenye hasira maana jambo hilo nilikua sio la kweli, hadi wazazi waliingilia kati lakini hakuna suluhu iliyopatikana.
Mwisho wa siku ukoo uliamua kila mmoja alale chumba chake maana hatuwezi kutengana tukiwa tayari tuna watoto wengine.
Licha ya kulala kila mtu chumba chake, bado migogoro ndani haikuisha, mume wangu alionekana kumtenga sana huyu mtoto wa mwisho kiasi kwamba roho yangu iliniuma sana.
Mgogoro huu uliendelea hadi mtoto huyu anafikisha miaka sita, ndipo nikachoka nikaamua kwenda kufungua kesi mahakamani.
Mahakama iliamuru Baba na mtoto wakapimwe DNA, baada ya vipimo majibu yalionyesha mume wangu ni Baba halali kabisa wa mtoto huyu anayesema sio wake.
Hata hivyo, mume wangu hakuridhika na majibu hayo na kusema si ya kweli jambo ambalo sikutegemea, nilidhani baada ya vipimo mambo yatakuwa shwari.
Kuna rafiki yangu alinishauri niende huko Migori, Kenya ili kuonana na Kiwanga Doctors ambaye angeweza kumtuliza mume wangu maana alikuwa amevuka sasa mipaka kwa tabia ambayo alikuwa ameionyesha sio kwangu tu kwa watoto na jamii.
Nilifika ofisini kwake na akanipa dawa, tangu nimetumia dawa zake, ugomvi ndani ya nyumba umeisha kabisa, na mume wangu aliamua kuitisha kikao cha ukoo na kuomba radhi kwa yote yaliyotokea na kukiri kuwa yule ni mtoto wake halali kabisa.
Asante sana Kiwanga Doctors kwa huduma yako, waweza kumpata kupitia wavuti www.kiwangadoctors.com barua pepe [email protected] au piga simu kwa nambari +254 769404965.