Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 26, 2025 amewasili Mpanda mkoani Katavi ambapo atakuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM jimbo la Katavi unaofanyika katika viwanja vya TARURA.
Kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda amepokelewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Iddi Kimanta,Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwamvua Mrindoko na Mbunge wa jambo la Katavi Mhandisi Isaack Kamwele
…………..
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Katavi, Iddi Klimanta (wa pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwamvua Mrindoko wa pili kulia na Mbunge wa Katavi, Mhadishi Isack Kamwelwe alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mpanda Januari 26, 2025 akiwa njiani kwenda Inyonga wilayani Mlele kwra mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Katavi kwenye Uwanja wa TARURA. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa skafu alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mpanda Mkoa wa Katavi akiwa njiani kwenda Inyonga wilayani Mlele kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCMJjimbo la Katavi, Januari 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mkutano Mkuu wa CCM, Jimbo la Katavi uliofanyika kwenye uwanja wa TARURA, Inyonga wilayani Mlele, Januari 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Katavi wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika mkutano huo kwenye uwanja wa TARURA uliopo Inyonga wilayani Mlele, Januari 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta akizungumza alipomkaribisha Mgeni Rasmi, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuhutubia Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Katavi kwenye uwanja wa TARURA uliopo Inyonga wilayani Mlele, Januari 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Mlele, Wolfgang Mizengo Pinda akizungumza katika Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Katavi uliofanyika kwenye uwanja wa TARURA uliopo Inyonga wilayani Mlele, Januari 26, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Uwanja vya TARURA uliopo Inyonga wilayani Mlele kuhutubia Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Katavi, Januari 26, 2025. Wengine kutoka kulia ni Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022 na Spika Mstaafu, Anne Makinda, Mbunge wa Nsimbo Anna Lupembe, Mbunge wa Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geofrey Pinda na wa nne kulia ni Mbunge wa Katavi, Mhandisi Isack Kamwelwe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea heshima kutoka kwa Vijana wa CCM alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mpanda akiwa njiani kwenda Inyonga wilayani Mlele kura mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la katavi kwenye Uwnaja wa TARURa, Januari 26, 2025. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022 na Spika Mstaaf, Anne Makinda akizungumza katika Mkutano Mkuu wa CCM, Jimbo la katavi uliofanyika kwenye uwanja wa TARURA, Inyonga wilayani Mlele, Januari 26, 2025. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) Mbunge wa Jimbo la Katavi, Mhandisi Isca Kamwelwe akizungumza katika Mkutano Mkuu wa CCM, Jimbo la katavi uliofanyika kwenye uwanja wa TARURA, Inyonga wilayani Mlele, Januari 26, 2025. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Jimbo la Nsimbo, Anna Lupembe akizungumza katika Mkutano Mkuu wa CCM, Jimbo la katavi uliofanyika kwenye uwanja wa TARURA, Inyonga wilayani Mlele, Januari 26, 2025. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)