Naitwa Musa kutoka Temeke, ni kijana mwenye umri wa miaka 28 na mke wangu ana miaka 25, niliishi na mke wangu kwa miaka mitano, tulikuwa tukisumbuana sana takribani miaka yote hiyo, yaani tunagombana kisha tunaombana msamaha na tunasameheana.
Ila kuna hili ambalo alilifanya ila moyo ukagoma kabisa kusamehe, nalo ni kutembea kimapenzi na mwanaume mwingine kwa miaka kama mitatu iliyopita ila nilikuja kugundua tu mara baada ya kupata dawa kutoka kwa Dr Bokko.
Ipo hivi baada ya yeye mke wangu kuwa na wanaume wengine ambao ni wapenzi wake na huwa anachati nao, ndipo dada yangu akaniambia ni tabia yake kitu ambacho alikuwa amefanya siri kwa muda mrefu.
Basi Dada akaniambia kuwa amekaa na hiyo siri kwa muda mrefu ila wifi alishawahi kutembea hata rafiki yangu wa karibu ila baada ya kumuuliza mke wangu alikiri na kuniambia mbona mimi nina mtoto wa nje?.
Kufuatia kauli hiyo nikaamua nifuate taratibu za kumpa talaka, nimezaa naye watoto watatu na hapa nimefikia hatua ya kwenda mahakamani kuona jinsi tutachana wakati huu ambao nina nyumba tatu na magari mawili.
Kwa hili moyo wangu umekataa kusamehe kabisa, na tangu nipate hiyo taarifa ya usaliti wake na yeye kuthibitisha hilo sijawahi shiriki nae tendo la ndoa licha ya kuniomba sana msamaha lakini siwezi.
Hadi sasa katika maisha yangu nimesamehe mengi ila hili moyo umekataa kabisa, siwezi kuishi kwa amani na mwanamke msaliti, ni kama nafsi yangu imeshaingia kinyongo kwa asilimia zote.
Kinachoniumiza ni watoto lakini siwezi kuteseka maisha yangu sababu ya watoto hapana. Hili limekata mapenzi yote kwake.. hata nikimsamehe sina amani nae tena katika ndoa hiyo.
Naweza kusema kwa sasa kichwa changu kimejaa sana mawazo, najiuliza kama nisingepata dawa ya kumgundua mtu ambaye sio mwaminifu katika mahusiano kutoka kwa Dr Bokko, ni kwamba mke wangu angeendelea kunisaliti.
Kwa hakika namshukuru sana Dr Bokko kwa kuweza kufichua maovu ya mke wangu ambayo alikuwa anayafanya nyuma ya pazia na kujidai kuwa ni mtu mwaminifu kitu ambacho sio kweli hata kidogo.
Ikiwa nawe anataka kujua uaminifu wa mtu wako, huna haja ya kuumiza kichwa kabisa, chukua uamuzi wa kuwasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050 au tembelea tovuti yake ili aweze kukusaidia kujua ukweli.