RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Imamu Mkuu wa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Sheikh. Salum Hemed Salum, alipowasili katika viwanja vya msikiti huo kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi(kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-1-2025 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025, katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025, katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)