Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu iliyokutana Bungeni jijini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Suleiman Moshi Kakoso akisisitiza jambo wakati kamati hiyo ilipokutana na viongozi na watendaji wa Wizara ya Ujenzi Bungeni jijini Dodoma leo.
Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya akisoma taarifa ya utekelezaji wa miradi ya
maendeleo inayosimamiwa na wizara kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu
Bungeni jijini Dodoma leo.
Baadhi ya Watendaji kutoka Wizara ya Ujenzi wakifuatilia kikao cha Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Miundombinu wakati Wizara hiyo ilipowasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya
maendeleo inayoisimamia kwa kamati hiyo.
Imetolewa na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini Wizara ya Ujenzi