Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Katikati aliyeketi) na Balozi wa Japan nchini anayemaliza muda wake, Mhe. Yasushi Misawa (kushoto aliyeketi), wakisaini Hati za Mkataba (Exchange of Notes) kati ya Serikali ya Tanzania na Ubalozi wa Japan, wakati wa hafla iliyofanyika katika Ofisi Ndogo za Hazina, jijini Dar es Salaam, ambapo katika hafla hio Mhe. Dkt. Nchemba alisaini Hati ya Mkataba mwingine wa mkopo wenye masharti nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) wa Yen za Japan bilioni 22.742 (sawa na shilingi bilioni 354.45), kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Kilimo Vijijini unaojulikana kama “Agriculture and Rural Development Two Step Loan Project”, utakaosimamiwa na JICA kwa niaba ya Serikali ya Japan na upande wa Serikali ya Tanzania utatekelezwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Katikati) na Balozi wa Japan nchini anayemaliza muda wake, Mhe. Yasushi Misawa (Kushoto), wakibadilishana Hati za Mkataba (Exchange of Notes) iliyosainiwa kati ya Serikali ya Tanzania na Ubalozi wa Japan, wakati wa hafla iliyofanyika katika Ofisi Ndogo za Hazina, jijini Dar es Salaam, ambapo katika hafla hio Dkt. Nchemba alisaini Hati ya Mkataba mwingine wa mkopo wenye masharti nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) wa Yen za Japan bilioni 22.742 (sawa na shilingi bilioni 354.45), kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Kilimo Vijijini unaojulikana kama “Agriculture and Rural Development Two Step Loan Project”, ambao utasimamiwa na JICA kwa niaba ya Serikali ya Japan na upande wa Serikali ya Tanzania utatekelezwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Katikati) na Balozi wa Japan nchini anayemaliza muda wake, Mhe. Yasushi Misawa (Kushoto), wakionesha Hati za Mkataba (Exchange of Notes) iliyosainiwa kati ya Serikali ya Tanzania na Ubalozi wa Japan, wakati wa hafla iliyofanyika katika Ofisi Ndogo za Hazina, jijini Dar es Salaam, ambapo katika hafla hiyo, Mhe. Dkt. Nchemba, alisaini Hati ya Mkataba mwingine wa mkopo wenye masharti nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) wa Yen za Japan bilioni 22.742 (sawa na shilingi bilioni 354.45), kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Kilimo Vijijini unaojulikana kama “Agriculture and Rural Development Two Step Loan Project”, ambao utasimamiwa na JICA kwa niaba ya Serikali ya Japan na upande wa Serikali ya Tanzania utatekelezwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Katikati aliyeketi) na Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bi. MIYAZAKI Katsura (kulia), wakisaini Hati za Mkataba wa mkopo kati ya Serikali ya Tanzania na JICA wa Yen za Japan bilioni 22.742 (sawa na shilingi bilioni 354.45), kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Kilimo Vijijini unaojulikana kama “Agriculture and Rural Development Two Step Loan Project”, utakaosimamiwa na JICA kwa niaba ya Serikali ya Japan na upande wa Serikali ya Tanzania utatekelezwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Wengine katika picha wanaoshuhudia tukio hilo ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mhe. Fujii Hisayuki (wa pili kushoto aliyesimama), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Cosato Chumi (wa pili kulia aliyesimama), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Omolo (wa tatu kulia aliyesimama) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Bw. Frank Nyabundege.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bi. MIYAZAKI Katsura, wakibadilishana Hati za Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na JICA wa Yen za Japan bilioni 22.742 (sawa na shilingi bilioni 354.45), kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa Uendelezaji wa Kilimo Vijijini unaojulikana kama “Agriculture and Rural Development Two Step Loan Project”, utakaosimamiwa na JICA kwa niaba ya Serikali ya Japan na upande wa Serikali ya Tanzania utatekelezwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bi. Miyazuki Katsura, wakionesha Hati za Mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu kati ya Serikali ya Tanzania na JICA wa Yen za Japan bilioni 22.742 (sawa na shilingi bilioni 354.45), kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Uendelezaji wa Kilimo Vijijini unaojulikana kama “Agriculture and Rural Development Two Step Loan Project”, utakaosimamiwa na JICA kwa niaba ya Serikali ya Japan na upande wa Serikali ya Tanzania utatekelezwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)