Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui kulia akiwa pamija na Viongozi mbalimbali akikunjuwa Kitambaa kuashiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika hafla ya Ufunguzi wa Villa za Heritage Sunset Retreat Zanzibar Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.ambapo kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi .Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui katikati akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Villa za Heritage Sunset Retreat Zanzibar Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.ambapo kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi .Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akipata maelezo kutoka kwa Muekezaji Yves Montel wakati akitembelea moja ya Vyumba vya kulala Wageni katika hafla ya Ufunguzi wa Villa za Heritage Sunset Retreat Zanzibar Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.ambapo kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi .Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akimsikiliza Mkuu wa Divisheni ya Elimu,Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Ramadhan Ali Machano wakati akitembelea Ngome iliojengwa na Wareno katika hafla ya Ufunguzi wa Villa za Heritage Sunset Retreat Zanzibar Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.ambapo kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi .Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akimsikiliza Mkuu wa Divisheni ya Elimu,Idara ya Makumbusho na Mambo ya Kale Ramadhan Ali Machano wakati akitembelea Ngome iliojengwa na Wareno katika hafla ya Ufunguzi wa Villa za Heritage Sunset Retreat Zanzibar Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.ambapo kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi .Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Baadhi ya Wafanyakazi na Wananchi waliohudhuria katika hafla Ufunguzi wa Villa za Heritage Sunset Retreat Zanzibar Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.ambapo kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi .Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Dk Amina Ameir Issa akitoa hotuba ya Kitaalamu katika hafla Ufunguzi wa Villa za Heritage Sunset Retreat Zanzibar Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.ambapo kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi .Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Muekezaji wa Villa za Heritage Sunset Retreat Zanzibar Yves Montel akizungumza kuhusiana na Uwekezaji katika hafla Ufunguzi wa Villa za Heritage Sunset Retreat Zanzibar Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.ambapo kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi .Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.
Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Villa za Heritage Sunset Retreat Zanzibar Fukuchani Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni katika Shamra shamra za miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.ambapo kauli mbiu “Miaka 61 ya Mapinduzi .Amani Umoja na Mshikamano kwa Maendeleo yetu.PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.08/01/2025S