Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa CCM Wilaya ya Liwale, Marehemu Kindamba Milingo yaliyofanyika katika makaburi ya Nanganda Liwale, Lindi Januari 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Vijana wa CCM wakiwa wamebeba mwili wa Mwenyekiti wa CCM wa zamani wa wilaya ya Liwale, marehemu Kindamba Milingo katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Nanganda Liwale Mkoa wa Lindi, Januari 8, 2025. Mjumbe wa Kamati Kuui ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alishiriki katika mazishi hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza katika mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa CCM wilaya ya Liwale, marehmu Kindamba Milingo yaliyofanyika katika makaburi ya Nanganda Liwale, Januari 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Hassan Jarufu (wa pili kushoto) pamoja na waombolezaji wakishiriki katika mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa CCM wilaya ya Liwale yaliyofanyika katika makaburi ya Nanganda Liwale mkoa wa Lindi, Januari 8, 2025. Kulia ni Mtoto wa marehemu, Habibu Kindamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mwenyekiti wa zamani wa CCM Wilaya ya Liwale, Marehemu Kindamba Milingo alipowasili nyumbani kwa marehemu, Kindamba Milingo kushiriki katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Nanganda Liwale Mkoa wa Lindi Januari 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)