Katika moja ya mitaa ya uswahilini ndani ya mkoa wa Shinyanga kulitokea tukio ambalo lilivuta umati mkubwa sana wa watu ambao kila mmoja alisalia na mshangao kufuatia kile ambacho walikiona hapo.
Nami nilikuwa miongoni mwa watu waliofikia kutazama tukio hilo ambalo ndio ilikuwa mara ya kwanza kuliona tangu kuzaliwa kwangu, Nilijua nimeona kila lakini bado, kwa hakika dunia ina mambo ya ajabu.
Tukio hilo ni kijana mmoja alikuwa amesimama tu wima barabarani bila hata kusogeza mguu wake huku nyuki wengi wakiwa wametanda kifuani kwake na mgongoni.
Cha ajabu zaidi hakuna nyuki hata mmoja ambaye alikuwa anaruka wala kijana huyo hakulalamika kama walikuwa wakimuuma wala hakuwa anajibu chochote pindi watu walipomuuliza ni jambo gani hilo maana wengi wetu tulihisi kwamba yalikuwa mazingaombwe.
Hata hivyo, kadiri muda ulivyozidi kusonga tukaja kuona yale hayakuwa mazingaombwe kabisa bali kijana yule alikuwa akitumikia adhabu baada ya kuiba mifugo ya mzee moja maarufu katika eneo lile kwa ufugaji na kilimo.
Tulibaini hilo baada ya Mzee yule aitwaye Abuu kuja katika mkusanyiko ule na kumshika yule kijana na kumuuliza ni wapi walipopeleka mifugo yake?.
Kijana alisema yeye hajui wala hajaiba, basi Mzee akasema kwa vile amekataa kusema ukweli yeye hana cha kufanya bali anaondoka na kumuacha hapo hadi siku atakayosema ukweli.
Mashuhuda wa tukio lile wakapaza sauti na kumsihi yule kijana kusema ukweli ili kuokoa maisha yake, basi yule kijana akasema mifungo ya yule mzee aliichukua na kwenda kuiamishia kijiji cha jirani.
Basi Mzee Abuu alimchukua yule kijana akiwa na nyuki zake mgongoni na kifuani hadi kijiji cha jirani, walipofika huko na kuona mifugo yake, akawaagiza wafanyakazi wake waichukue na kuirudisha nyumbani.
Yule Mzee alichukua simu yake na kusema anampigia mtu ambaye alituma nyuki kumshika mwizi huyo, mtaalam aliyewatuma nyuki ni Dr Bokko ambaye amekuwa akipambana na wezi kwa njia mbalimbali tena zile za kutisha sana.
Dr Bokko alitoa maelekezo ni kitu gani cha kufanyika na baada ya kutekelezwa hilo, wale nyuki waliondoka kwa pamoja bila kumdhuru mtu yeyote katika eneo lile jambo ambalo liliwaacha watu vinywa wazi.
Mzee Abuu aliwaambia umati ule wa watu kuwa amekuwa akimtumia Dr Bokko katika kakabiliana na wezi wa mifugo na mazao kwa nyakati zote na amekuwa akipata matokeo mazuri kwa nyakati.
Ikiwa nawe anataka kutisha kama Mzee Abuu, basi wasiliana na Dr Bokko kwa namba +255618536050 au tembelea tovuti yake ili kupata kujua zaidi huduma mbalimbali ambazo anazitoa kwa jamii.