Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Nusu Mwaka 2024/25 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC), ambapo aliwapongeza kwa kuendelea kuongeza makusanyo ya kodi kila mwaka katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/22 TRA ilikusanya sh. trilioni 22.2, katika mwaka wa fedha 2022/23 ilikusanya sh. trilioni 24.1, katika mwaka wa fedha 2023/24, sh. trilioni 27.6 na katika kipindi cha mwezi Julai-Desemba ya mwaka wa fedha 2024/25, TRA imekusanya shilingi trilioni 16.528.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda, akizungumza jambo wakati akimkaribisha Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (hayupo pichani), kufungua Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Nusu Mwaka 2024/25 wa Mamlaka hiyo, katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC), jijini Arusha.
Baadhi ya Watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (hayupo pichani), wakati akifungua Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Nusu Mwaka 2024/25 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC), jijini Arusha, ambapo pamoja na mambo mengine, Dkt. Nchemba aliwapongeza watumishi hao kwa kuendelea kuongeza makusanyo ya kodi kila mwaka katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/22 TRA ilikusanya sh. trilioni 22.2, katika mwaka wa fedha 2022/23 ilikusanya sh. trilioni 24.1, katika mwaka wa fedha 2023/24, sh. trilioni 27.6 na katika kipindi cha mwezi Julai-Desemba ya mwaka wa fedha 2024/25, TRA imekusanya shilingi trilioni 16.528.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (kulia), na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Juma Mwenda, wakifurahia jambo wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Nusu Mwaka 2024/25 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC), jijini Arusha, ambapo pamoja na mambo mengine, Dkt. Nchemba aliwapongeza watumishi wa TRA kwa kuendelea kuongeza makusanyo ya kodi kila mwaka katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/22 TRA ilikusanya sh. trilioni 22.2, katika mwaka wa fedha 2022/23 ilikusanya sh. trilioni 24.1, katika mwaka wa fedha 2023/24, sh. trilioni 27.6 na katika kipindi cha mwezi Julai-Desemba ya mwaka wa fedha 2024/25, TRA imekusanya shilingi trilioni 16.528.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (Katikati aliyeketi), akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), baada ya kufungua Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Nusu Mwaka 2024/25 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC), Jijini Arusha, ambapo aliwapongeza kwa kuendelea kuongeza makusanyo ya kodi kila mwaka katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/22 TRA ilikusanya sh. trilioni 22.2, katika mwaka wa fedha 2022/23 ilikusanya sh. trilioni 24.1, katika mwaka wa fedha 2023/24, sh. trilioni 27.6 na katika kipindi cha mwezi Julai-Desemba ya mwaka wa fedha 2024/25, TRA imekusanya shilingi trilioni 16.528.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (Katikati aliyeketi), akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), pamoja na Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo, baada ya kufungua Mkutano wa Tathmini ya Utendaji kazi wa Nusu mwaka 2024/25 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (AICC), Jijini Arusha, ambapo aliwapongeza kwa kuendelea kuongeza makusanyo ya kodi kila mwaka katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/22 TRA ilikusanya sh. trilioni 22.2, katika mwaka wa fedha 2022/23 ilikusanya sh. trilioni 24.1, katika mwaka wa fedha 2023/24, sh. trilioni 27.6 na katika kipindi cha mwezi Julai-Desemba ya mwaka wa fedha 2024/25, TRA imekusanya shilingi trilioni 16.528. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Arusha.
……..