RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud, Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Mhe.Haji Omar Kheri na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed Mussa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Ali Abdulgulam Hussein.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika bandari ya Tumbatu kwa ajili ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Kwanza ya Ghorofa Tumbatu, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, ufunguzi huo uliofanyika leo 4-1-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Tumbatu alipowasili kwa ajili ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya kwanza ya ghorofa, uzinduzi huo uliyofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika tabasamu wakati akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu Zanzibar Mhe. Haji Omar Kheri, wakati akielekea katika eneo la ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Tumbatu, ufunguzi wa Skuli hiyo uliofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 4-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)