Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa, akivishwa skafu na vijana wa UVCCM, kushoto ni Baraka Lucas na kulia ni Erick Kitanda kwenye mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Jimbo Busega, uliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Simba wa Yuda, Wilaya ya Busega mkoani Simiyu Desemba 22, 2024, ambapo Mheshimiwa Waziri Mkuu alikua Mgeni Rasmi.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa, akishuhudia mchango uliyochangwa na wananchi wa Jimbo la Busega kwa ajili ya fomu ya Urais kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Jimbo Busega, uliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Simba wa Yuda, wilayani humo mkoani Simiyu Desemba 22, 2024, ambapo Mheshimiwa Waziri Mkuu alikua Mgeni Rasmi.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa, akiwasili kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Simba wa Yuda kwa ajili ya mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Jimbo Busega, uliyofanyika Wilaya ya Busega mkoani Simiyu Desemba 22, 2024, ambapo Mheshimiwa Waziri Mkuu alikua Mgeni Rasmi.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa, alipozungumza kwenye mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Jimbo Busega, uliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Simba wa Yuda, Wilaya ya Busega mkoani Simiyu Desemba 22, 2024, ambapo Mheshimiwa Waziri Mkuu alikua Mgeni Rasmi.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa akizungumza kwenye mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Jimbo Busega, uliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Simba wa Yuda, wilayani humo mkoani Simiyu Desemba 22, 2024, ambapo Mheshimiwa Waziri Mkuu alikua Mgeni Rasmi.