Mrajisi Tume ya Utangazaji Ali Hussein Ayoub akizungumza katika hafla ya kukabidhi Leseni ya Kituo Kipya Cha Utangazaji SPICE TV Chanal ambacho kitahusika na Kutangaza Utalii hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZBC TV Mnazi mmoja Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita (kushoto)akishuhudia makabidhiyano ya Leseni ya Kituo Kipya Cha Utangazaji SPICE TV Chanal ambacho kitahusika na Kutangaza Utalii kati ya Katibu Mtendaji Tume ya Utangazaji Hiji Dadi Shajak kushoto na Mkurugenzi wa ZBC TV Ramadhan Bukini hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZBC TV Mnazi mmoja Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba katika hafla ya kukabidhi Leseni ya Kituo Kipya Cha Utangazaji SPICE TV Chanal ambacho kitahusika na Kutangaza Utalii hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZBC TV Mnazi mmoja Zanzibar.
Mkurugenzi wa ZBC TV Ramadhan Bukini akitoa neno la shukurani baada ya kukabidhiwa Leseni ya Kituo Kipya Cha Utangazaji SPICE TV Chanal ambacho kitahusika na Kutangaza Utalii hafla iliofanyika katika Ukumbi wa ZBC TV Mnazi mmoja Zanzibar. (PICHA A YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.13/12/2024)