RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua jengo la Zawiya Ishaat Auswafi Nnabiyy (S.A.W) katika kijiji cha Mbalungini Pitanazako Mkoa wa Kaskazini Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 13-12-2024,na kufuatia kisomo cha Dua kuwaombea Viongozi Wakuu wa Serikali,(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahro Masoud na (kulia kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Mattar Zahor Masoud na Viongozi wa Dini alipowasili katika viwanja vya Msikiti wa Ijumaa Mbalungini Pitanazako, kwa ajili ya ufunguzi wa Zawiya Ishaat Auswafi Nnabiyya (S.A.W) Mbalungini, ufunguzi huo uliyofanyika leo 13-12-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokelewa kwa zikiri maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya Ufunguzi wa Zawiya Ishaat Auswafi Nnabiyy (S.A.W) katika kijiji cha Mbalungini Pitanazako Mkoa wa Kaskazini Unguja, uzinduzi huo uliofanyika leo 13-12-2024, kabla ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika msikiti huo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Zawiya Ishaat Auswafi Nnabiyy (S.A.W) katika kijiji cha Mbalungini Pitanazako Mkoa wa Kaskazini Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 13-12-2024, na kufuatia kisomo cha Dua kuwaombea Viongozi Wakuu wa Serikali, kabla ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti wa Ijumaa Mbalungini.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Zawiya Ishaat Auswafi Nnabiyy (S.A.W) katika kijiji cha Mbalungini Pitanazako Mkoa wa Kaskazini Unguja,baada ya kumalizika kwa kisomo cha Dua kuwaombea Viongozi Wakuu wa Serikali,ufunguzi huo uliyofanyika leo 13-12-2024.(Picha na Ikulu)