Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea tuzo maalum ya utunzaji mazingira iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Iringa katika Mahafali ya Chuo hicho yaliyofanyika leo tarehe 13 Desemba 2024 mkoani Iringa. anayekabidhi tuzo ni Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Iringa, Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Venance Mabeyo.