RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanavikundi vya mazoezi katika Matembezi ya Afya Zanzibar “ Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” yaliyoazia katika viwanja vya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024 (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh. (Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa ,wakijumuika na Wanavikundi vya mazoezi Zanzibar katika Matembezi ya Afya Zanzibar “ Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” yaliyoazia katika viwanja vya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja na kumalizikia katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh, yaliyofanyika leo 8-12-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kitengo cha Damu Salama Zanzibar Dkt. Masoud Ali Masoud, wakati akitembelea maonesho ya Afya Zanzibar, baada ya kumaliza matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” katika uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Programu ya Kumaliza Malaria Zanzibar. Shija Joseph Shija, wakati akitembelea maonesho ya Afya Zanzibar, baada ya kumaliza matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” katika uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Msaidizi Meneja Kitengo cha Maradhi Yasioambukiza (NCD) Zuhura Saleh Amour ar Dkt. Shija Joseph Shija, wakati akitembelea maonesho ya Afya Zanzibar, baada ya kumaliza matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” katika uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hassan Khamis Hafidh. (Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wanamichezo wa Vikundi vya Mazoezi ya Viungo Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako” yaliyofanyika leo 8-12-2024, katika viwanja vya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na kumalizika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu).
MKE wa Rais wa Zanzibar na Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Marian Mwinyi,akikabidhiwa TUZO maalum ya kuthamini mchango wake katika Sekta ya Afya Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako”yaliyomalizikia katika Viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024.(Picha na Ikulu)